\v 12 \v 13 12 Kisha Zilpa, mjakazi wa Lea, akamzalia Yakobo mwana wa pili. 13 Lea akasema, "Nina furaha! Kwa maana mabinti wataniita furaha." Hivyo akamwita jina lake Asheri.