\v 3 \v 4 3 Akasema, "Tazama, kuna mjakazi wangu Bilha. Lala naye, hivyo aweze kuzaa watoto magotini pangu, nami nitapata watoto kwake. 4 Hivyo akampa Bilha mjakazi kama mke wake, na Yakobo akalala naye.