|
\c 30 \v 1 \v 2 1 Raheli alipoona kwamba hamzalii Yakobo watoto, Raheli akamwonea wivu dada yake. Akamwambia Yakobo, "Nipe watoto, sivyo nitakufa." 2 Hasira ya Yakobo ikawaka juu ya Raheli. Akasema, "Mimi ni badala ya Mungu, aliyekuzuilia usipate watoto? |