1 line
495 B
Plaintext
1 line
495 B
Plaintext
\v 17 \v 18 \v 19 \v 20 17 Kisha Yahwe akampiga Farao na nyumba yake kwa mapigo makuu kwa sababau ya Sarai, mke wa Abram. 18 Farao akamwita Abram na kusema, "Nini hiki ambacho umenifanyia? Kwa nini hukuniambia kuwa alikuwa mke wako? 19 Kwa nini ulisema, 'ni dada yangu; na mimi nikamchukua kuwa mke wangu? Sasa kwa sababu hiyo huyu hapa mke wako. Mchukue na uende zako." 20 Kisha Farao akatoa amri kwa watu wake kuhusiana naye, na wakamuondoa, yeye pamoja na mke wake na vyote alivyokuwa navyo. |