1 line
330 B
Plaintext
1 line
330 B
Plaintext
\v 24 \v 25 \v 26 24 Hivyo akawaruhusu ndugu zake nao wakaondoka. Akawaambia, "Angalieni msije mkagombana njiani." 25 Wakapanda kutoka Misri na kuja katika nchi ya Kanaani, kwa Yakobo baba yao. 26 Wakamwambia "Yusufu bado yu hai, na ndiye mtawala juu ya nchi yote ya Misri." Na moyo wake ulishikwa na ushangao, kwani hakuwaamini. |