1 line
315 B
Plaintext
1 line
315 B
Plaintext
\v 6 \v 7 \v 8 6 Kisha wajakazi wakakaribia pamoja na watoto wao, nao wakasujudia. 7 Akafuata Lea pia na watoto wake wakaja na kusujudia. Mwisho Yusufu na Raheli wakaja na kusujudia. 8 Esau akasema, Unamaanisha nini kwa makundi haya yote niliyokutana nayo?" Yakobo akasema, "Kutafuta kibali mbele za bwana wangu. |