1 line
318 B
Plaintext
1 line
318 B
Plaintext
\v 43 \v 44 43 Labani akajibu na kumwambia Yakobo, "Mabinti hawa ni mabinti zangu, wajukuu ni wajukuu wangu, na wanyama ni wanyama wangu. Yote uyaonayo ni yangu. Lakini nitafanya nini leo kwa hawa binti zangu, au kwa watoto wao waliowazaa? 44 Hivyo sasa, na tufanye agano, wewe nami, na liwe shahidi kati yangu nawe." |