sw_gen_text_ulb/28/10.txt

1 line
262 B
Plaintext

\v 10 \v 11 10 Yakobo akatoka Beersheba na akaelekea Harani. 11 Akaja mahali fulani na akakaa pale usiku kucha, kwa kuwa jua lilikuwa limekuchwa. Akachukua mojawapo ya mawe katika eneo hilo, akaliweka chini ya kichwa chake, na akalala usingizi katika eneo hilo.