sw_gen_text_ulb/27/39.txt

1 line
256 B
Plaintext

\v 39 \v 40 39 Isaka baba yake akajibu na kumwambia, "Tazama, mahali unapoishi patakuwa mbali na utajiri wa nchi, mbali na umande juu angani. 40 Kwa upanga wako utaishi, nawe utamtumikia ndugu yako. lakini utakapoasi, utaiondoa nira yake shingoni mwako."