1 line
298 B
Plaintext
1 line
298 B
Plaintext
\v 30 \v 31 30 Mara Isaka alipomaliza kumbariki Yakobo, na Yakobo ndo ametoka mbele ya Isaka baba yake, Esau ndugu yake akaja kutoka kuwinda. 31 Yeye pia akaandaa chakula kitamu na kukileta kwa baba yake. Akamwambia baba yake, "Baba, inuka na ule baadhi ya mawindo ya mwanao, ili uweze kunibariki." |