\v 24 24 Nuhu alipozinduka kutoka katika ulevi wake, alijua ni jambo gani mtoto wake mdogo amemfanyia. \v 25 25 Hivyo akasema, "Alaaniwe Kanaani. Na awe mtumishi kwa watumishi wa ndugu zake."