1 line
387 B
Plaintext
1 line
387 B
Plaintext
\v 8 8 Kisha Mungu akazungumza na Nuhu na wanae pamoja naye, akisema, \v 9 9 "Kwa ajili yangu, sikiliza! Ninakwenda kulithibitisha agano langu pamoja nawe na uzao wenu baada yenu, \v 10 10 na kwa kila kiumbe hai kilicho pamoja nawe, pamoja na ndege, mnyama wa kufugwa, na kila kiumbe cha nchi pamoja nawe, kuanzia kwa wote waliotoka kwenye safina, mpaka kwa kila kiumbe hai juu ya nchi. |