1 line
317 B
Plaintext
1 line
317 B
Plaintext
\v 7 \v 8 7 Tazama, tulikuwa tukifunga miganda ya nafaka shambani na tazama, mganda wangu ukainuka na kusimama wima, na tazama, miganda yenu ikasogea na kuuinamia mganda wangu" 8 Ndugu zake wakamwambia, "Je ni kweli utatutawala? Je utatutawala juu yetu?" Hata wakamchukia zaidi kwa ajili ya ndoto zake na maneno yake. |