|
\v 4 \v 5 4 Esau akakimbia kumlaki, akamkumbatia, akakumbatia shingo yake na kumbusu. Kisha wakalia. 5 Esau alipoinua macho, aliona wanawake na watoto. Akauliza, "Hawa watu pamoja nawe ni kinanani?" Yakobo akasema, Ni watoto ambao Mungu amempa mtumishi wako kwa neema." |