sw_gen_text_ulb/32/22.txt

1 line
215 B
Plaintext

\v 22 \v 23 22 Yakobo akaamka wakati wa usiku, na akawachukua wakeze, wajakazi wake na wanawe kumi na wawili. Akawawavusha kijito cha Yaboki. 23 Kwa njia hii akawapeleka kupitia chemichemi pamoja na mali yake yote.