|
\v 18 \v 19 18 Yakobo akaenda kwa baba yake na kumwambia, "Babangu." Yeye akasema, "Mimi hapa; U nani wewe, mwanangu?" 19 Yakobo akamwambia baba yake, "Mimi ni Esau mzaliwa wako wa kwanza; nimefanya kama ulivyoniagiza. Basi kaa na ule sehemu ya mawindo yangu, ili unibariki." |