\v 3 Mungu akasema, "Na kuwe nuru," na kulikuwa na nuru. \v 4 Mungu akaona nuru kuwa ni njema. Akaigawa nuru na giza. \v 5 Mungu akaiita nuru "mchana" na giza akaliita "usiku." Ikawa jioni na asubuhi, siku ya kwanza.