1 line
301 B
Plaintext
1 line
301 B
Plaintext
\v 11 \v 12 11 Malaika wa Yahwe pia akamwambia, " Tazama, wewe unamimba, na utazaa mtoto wa kiume, na utamwita jina lake Ishmaeli, kwasababu Yahwe amesikia mateso yako. 12 Atakuwa punda mwitu wa mtu. Atakuwa adui dhidi ya kila mtu, na kila mtu atakuwa adui yake, na ataishi kando na ndugu zake wote." |