\v 6 \v 7 \v 8 6 Akamwamini Yahwe, na akamuhesabia jambo hili kuwa mwenye haki. 7 Akamwambia, Mimi ni Yahwe, niliye kutoa katika Uru ya Wakaldayo, na kukupatia nchi hii kuirithi." 8 Akasema, "Bwana Yahwe, nitajua je kuwa nitairithi?"