|
\v 5 \v 6 5 Simoni na Lawi ni ndugu. Panga zao ni silaha za vurugu. 6 Ee nafsi yangu, usiingie barazani pao; usiingie katika mikutano yao, kwani moyo wangu unaheshima kubwa kwa ajili yao. Kwani katika hasira yao waliua watu. Iliwapendeza kuwakata visigino ng'ombe. |