\v 11 \v 12 11 Kumfunga punda wake kwenye mzabibu, na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri, amefua mavazi yake katika divai, na kanzu yake katika damu ya vichala vya mzabibu. 12 Macho yake yatakuwa mekundu kama mvinyo, na meno