sw_gen_text_ulb/13/01.txt

1 line
205 B
Plaintext

\c 13 \v 1 Kwa hiyo, Abram akaondoka akatoka Misri na akaenda Negebu, yeye, mke wake, na vyote alivyokuwa navyo. Lutu pia akaenda pamoja naye. \v 2 Na sasa Abram alikuwa tajiri wa mifugo, fedha na dhahabu.