|
\v 7 Kwa hiyo Yahwe akasema, "Nitamfutilia mbali mwanadamu ambaye nimemuumba katika uso wa nchi; mwanadamu na wanyama wakubwa, na vitambaavyo na ndege wa angani, kwa kuwa nimehuzunika kuwa nimeviumba." \v 8 Lakini Nuhu akapata neema ya upendeleo machoni pa Yahwe. |