sw_gen_text_ulb/46/01.txt

1 line
478 B
Plaintext

\c 46 \v 1 \v 2 \v 3 \v 4 1 Israeli akasafiri na yote aliyokuwa nayo na akaja Beersheba. Pale akatoa sadaka kwa Mungu wa Isaka baba yake. 2 Mungu akamwambia Israeli katika ndoto usiku, akisema, "Yakobo, Yakobo." 3 Akasema, "Mimi hapa." Akasema, "Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako. Usiogope kushuka Misri, kwa maana nitakufanya taifa kubwa huko. 4 Nitakwenda pamoja nawe huko Misri, Nami nitakupandisha huku tena bila shaka. Na Yusufu akayafunika macho yake kwa mikono yake."