1 line
507 B
Plaintext
1 line
507 B
Plaintext
\v 20 \v 21 \v 22 \v 23 20 Ikawa siku ya tatu ambayo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Farao. Akafanya sherehe kwa watumishi wake wote. "Akakiinua juu" kichwa cha mkuu wa wanyweshaji na kichwa cha mkuu wa waokaji, kati ya watumishi wake. 21 Akamrudisha mkuu wa wanyweshaji katika majukumu yake, na akakiweka tena kikombe katika mkono wa Farao. 22 Lakini akamtundika mkuu wa waokaji, kama Yusufu alivyokuwa amewatafsiria. 23 Hata hivyo mkuu wa wanyweshaji hakukumbuka kumsaidia Yusufu. Badala yake, alimsahau. |