\v 14 \v 15 14 Lakini unikumbuke ukifanikiwa, na unionyesha wema. Unitaje kwa Farao na kuniondoa hapa gerezani. 15 Maana hakika nilitekwa kutoka katika nchi ya Waebrania. Na hapa sijafanya chochote kinachonipasa niwekwe gerezani."