sw_gen_text_ulb/26/23.txt

1 line
382 B
Plaintext

\v 23 \v 24 \v 25 23 Kisha Isaka akaenda Beersheba. 24 Yahwe akamtokea usiku huo huo na akasema, "Mimi ni Mungu wa Ibrahimu baba yako. Usiogope, kwa maana mimi nipo pamoja nawe na nitakubariki na kuzidisha vizazi vyako, kwa ajili ya mtumishi wangu Ibrahimu." 25 Isaka akajenga madhabahu pale na akaliita jina la Yahwe. Akapiga hema yake pale, na watumishi wake wakachimba kisima.