1 line
338 B
Plaintext
1 line
338 B
Plaintext
\v 15 \v 16 \v 17 15 Basi visima vyote watumishi wa baba yake walikuwa wamevichimba katika siku za Ibrahimu baba yake, Wafilisiti wakavikatalia kwa kwa kuvijaza kifusi. 16 Abimeleki akamwambia Isaka, "Ondoka kati yetu, kwa kuwa wewe una nguvu kuliko sisi." 17 Hivyo Isaka akaondoka pale na kukaa katika bonde la Gerari, na kuishi pale. |