|
\v 12 \v 13 \v 14 12 Isaka akapanda mazao katika nchi hiyo na kuvuna mwaka huo vipimo mia, kwa kuwa Yahwe alimbariki. 13 Mtu huyo akawa tajiri, naye akaongezeka zaidi hata akawa mkuu sana. 14 Alikuwa na kondoo na ngombe na familia kubwa. Wafilisiti wakamwonea wivu. |