\v 20 20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, na akapanda mizabibu. \v 21 21 Akanywa sehemu ya divai na akalewa. Akawa amelala hemeani uchi.