sw_gen_text_ulb/06/20.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 20 Katika ndege kwa jinsi yake, na wanyama wakubwa kwa jinsi yake, kila kitambaacho ardhini kwa jinsi yake, viwili viwili vya kila aina vitakuja kwako ili viwe salama. \v 21 Kusanya kila aina ya chakula kinacholiwa kwa ajili yako na ukitunze, ili kwamba viwe chakula chako na chao." \v 22 Kwa hiyo, Nuhu akafanya hivyo kulingana na yote ambayo Mungu alimuagiza, ndivyo alifanya.