sw_gen_text_ulb/06/09.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 9 Kulikuwa na matukio kumhusu Nuhu. Nuhu alikuwa mtu mwenye haki, na asiye na lawama miongoni mwa watu wa kipindi chake. Nuhu alitembea na Mungu. \v 10 Nuhu akafanyika baba wa wana watatu wa kiume: Shemu, Hamu na Yafethi.