sw_gen_text_ulb/02/24.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 24 Kwa hiyo mwanaume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, na watakuwa mwili mmoja. \v 25 Wote wawili walikuwa uchi, mwanaume na mke wake, lakini hawakuona aibu.