sw_gen_text_ulb/38/17.txt

1 line
250 B
Plaintext

\v 17 \v 18 17 Akasema, "Nitakuletea mwana mbuzi wa kundi." Akasema, "Je utanipa rehani hata utakapo leta?" 18 Akasema, "Nikupe rehani gani?" Naye akasema, "Mhuri wako na mshipi, na fimbo iliyo mkononi mwako." Akampa na kulala naye. Akawa mjamzito.