1 line
398 B
Plaintext
1 line
398 B
Plaintext
\v 4 \v 5 \v 6 4 Kisha Yusufu akawaambia ndugu zake, "Nikaribieni, tafadhali." Nao wakasogea. Akawaambia, "Mimi ni Yusufu ndugu yenu, mliyemwuza Misri. 5 Lakini sasa msihuzunike au kukasirika miongoni mwenu kwamba mliniuza huku, kwani Mungu alinituma mbele yenu ili kutunza uhai. 6 Maana ni miaka miwili njaa imekuwa katika nchi, na bado kuna miaka mitano ambayo hakutakuwa na kulima wala kuvuna. |