sw_gen_text_ulb/27/13.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 13 \v 14 13 Mama yake akamwambia, "Mwanangu, acha laana yoyote iwe juu yangu. Wewe sikiliza sauti yangu, nenda, uniletee." 14 Hivyo Yakobo alikwenda na kuchukua wanambuzi na kuwaleta kwa mama yake, na mama yake akaandaa chakula kitamu, kama alichokipenda baba yake.