sw_gen_text_ulb/38/21.txt

1 line
373 B
Plaintext

\v 21 \v 22 \v 23 21 Kisha Mwadulami akauliza watu wa sehemu hiyo,"Yupo wapi kahaba aliyekuwa Enaimu kando ya njia?" Wakasema, hapajawahi tokea kahaba hapa." 22 Akarudi kwa Yuda na kusema, "Sikumwona. Pia watu wa eneo hilo wamesema, 'Hajawahi kuwapo kahaba hapa." 23 Yuda akasema, "Mwache akae na vitu, tusije tukaaibika. Hakika, nimemletea mwanambuzi, lakini hukumwona."