sw_gen_text_ulb/38/15.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 15 \v 16 15 Yuda alipomwona alidhani ni kahaba kwa maana alikuwa amefunika uso wake. 16 Akamwendea kando ya njia na kusema, "Njoo, tafadhari uniruhusu kulala nawe" - kwani hakujua kwamba alikuwa ni mkwewe - naye akasema, "Utanipa nini ili ulale nami?