1 line
462 B
Plaintext
1 line
462 B
Plaintext
\v 12 \v 13 \v 14 12 Baada ya muda mrefu, binti Shua, mkewe Yuda, alikufa. Yuda akafarijika na kwenda kwa wakatao kondoo wake manyoya huko Timna, yeye na rafiki yake, Hira Mwadulami. 13 Tamari akaambiwa, "Tazama, mkweo anakwendAkavua mavazi yake ya ujane na akajifunika ka Timna kukata kondoo wake manyoya." 14 wa ushungi. Akakaa katika lango la Enaimu, lililoko kando ya njia iendayo Timna. Kwa maana aliona kwamba Shela amekua lakini hakupewa kuwa mke wake. |