\v 3 \v 4 \v 5 3 Akawa mjamzito na kuzaa mwana. Akaitwa Eri. 4 Akawa mjamzito tena na kuzaa mwana tena. Akamwita jina lake Onani. 5 Akazaa mwana mwingine akamwita jina lake Shela. Alikuwa huko Kezibu alipomzaa.