1 line
285 B
Plaintext
1 line
285 B
Plaintext
\v 8 \v 9 8 Kutoka pale akaenda kwenye nchi ya mlima mashariki mwa Betheli, ambapo alipiga hema yake, magaribi kukiwa na Betheli na mashariki kukiwa na mji wa Ai. Akajenga madhabahu ya Yahwe pale na kuliitia jina la Yahwe. 9 Kisha Abram akaendelea kusafiri, akielekea upande wa Negebu. |