1 line
292 B
Plaintext
1 line
292 B
Plaintext
\v 9 Yahwe Mungu akamuita mwanaume na kumwambia, " uko wapi?" \v 10 Mwanaume akasema, "nilikusikia bustanini, na nkaogopa, kwa sababu nilikuwa uchi. kwa hiyo nikajificha." \v 11 Mungu akasema, "Ni nani alikwambia kuwa ulikuwa uchi? Je umekula kutoka mti ambao nilikuagiza usile matunda yake?" |