\v 19 \v 20 19 Akaamka na kuondoka. Akavua ushungi wake na kuvaa vazi la ujane wake. 20 Yuda akatuma mwana mbuzi kutoka kundini kwa mkono wa rafiki yake Mwadulami ili aichukue rehani kutoka katika mkono wa mwanamke, lakini hakumwona.