1 line
381 B
Plaintext
1 line
381 B
Plaintext
\c 15 \v 1 Baada ya mabo haya. neno la Yahwe likamjia Abram katika maono, likisema, "Usiogope, Abram! Mimi ni ngao yako na thawabu yako kubwa sana." \v 2 Abram akasema, "Bwana Yahwe, utanipatia nini, kwa kuwa naenda bila mtoto, na mrithi wa nyumba yangu ni Eliezeri wa Dameski?" \v 3 Abram akasema, "Kwakuwa hujanipatia uzao, tazama, mwangalizi wa nyumba yangu ndiye mrithi wangu." |