sw_gen_text_ulb/10/21.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 21 Pia walizaliwa wana kwa Shemu, ndugu yake mkubwa wa Yafethi. Shemu pia alikuwa baba yao na watu wote wa Eberi. \v 22 Wana wa Shemu walikuwa Elamu, Ashuru, Alfaksadi, Ludi, na Aramu. \v 23 Wana wa Aramu walikuwa ni Usi, Huli, Getheri, na Mashi.