3 lines
390 B
Plaintext
3 lines
390 B
Plaintext
\v 3 \v 4 \v 5 \v 6 3 Abram
|
|
|
|
akainama uso wake hadi chini ardhini na Mungu akazungumza naye, akisema, 4 "Mimi, tazama, agano langu liko nawe. Utakuwa baba wa mataifa mengi. 5 Wala jina lako halitakuwa tena Abram, bali jina lako litakuwa Abraham - kwa kuwa ninakuchagua kuwa baba wa mataifa mengi. 6 Nitakufanya uwe na uzao mwingi zaidi, na nitakufanya mataifa, na wafalme watatoka kwako. |