\v 17 \v 18 17 Kisha Yakobo akainuka na kuwapandisha wanawe na wakeze kwenye ngamia. 18 Akawaongoza mifugo wake wote mbele yake, pamoja na mali zake zote, wakiwemo wanyama aliowapata huko Padan- ramu. Kisha akaenda kuelekea kwa Isaka baba yake katika nchi ya Kanaani.