\v 14 \v 15 14 Siku za mavuno ya ngano Rubeni akaenda shambani na kuona tunguja. Akazileta kwa mama yake. Kisha Raheli akamwambia Lea, "Nipe baadhi ya tunguja za mwanao." 15 Lea akamwambia, "Je ni jambo dogo kwako, kumchukua mme wangu? Je na sasa unataka kuchukua tunguja za mwanangu pia? Raheli akasema, "Kisha atalala nawe leo usiku, kwa kubadilishana na tunguja za mwanao.