\v 28 \v 29 28 Wakasema, "Mtumishi wako baba yetu hajambo. Na bado yu hai" Wakajinyenyekeza na kuinama chini. 29 Alipoinua macho yake akamwona Benjamini ndugu yake, mwana wa mamaye, naye akasema, "Je huyu ndiye mdogo wenu mliyemsema?" Na kisha akasema, "Mungu na awe mwenye neema kwako, mwanangu."