\v 26 Labani akamwambia, "Siyo utamaduni wetu kumtoa binti mdogo kabla ya mzaliwa wa kwanza. \v 27 Timiza juma la bibi arusi, na tutakupa yule mwingine pia kwa mbadala wa kunitumikia miaka mingine saba."